Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
WamejifichaMimi ni simba damu mbona wenzangu siwaoni wamekimbilia wapi jamani?
Ila hii imedhalilisha TaifaNaangalia marudio ya azam na dada yake kolowizard hapa,naona kolo anaongoza 3 bila
View attachment 2229845
Msema kweli ni mpenzi wa MunguC. E. O. Babra ,Try again, na kamati yote ya usajili - msimu huu mmefeli kwa kiwango Cha kutisha. Kuna kila dalili ya kukosa makombe yote msimu huu- kwa mtazamo wangu, wachezaji wa kigeni wakubaki msimu ujao ni Chama na Inonga tu.
Zingatia nyukiKocha wa mchongoView attachment 2229850
Ile ya leo ndio mikia halisi bila kuwasha moto uwanjaniIla hii imedhalilisha TaifaView attachment 2229849
Eeeh gooooooalWamejificha
Nadhani leo zidane hakupokea simu yake alipeleka kwa fundi.Kocha wa mchongoView attachment 2229850
bila moto wasingefikakama foward ya simba ndio hivi,. hata kufika robo ya confederation ni walijitahidi sana....
kwani wewe hunyiMijitu ya Utopolo mnawaza kunya tuuu...
Utopolo mwaka huu mmeona mweziGooooooal kibudenga mtu mbad anatupatia goli la 3 hapa
Simba 3
Azam 1
Uto MmevimbiwaNjaa
GooaaaalEeeh gooooooal
Papaaa bocco bocco anatupatia goki la 4 na hat trick ya 20 msimu huu kwake!
Simba 4
Azam 1
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] poleni sana inabidi kucheka tu maana...YANGA WAMESHAKATA PUMZI SIMBA HUU UBINGWA NI WETU.
🤣🤣🤣🤣Gooaaaal
5 - 1 Mkuu
Mzee Kikala [emoji460]
Mbaya zaidi siku ya jumamosi mei 28 inakuja kwa kasi sana!Kama leo mtu amengalia hii game vizuri ndio atajua ukomo wa wachezaji wetu.
inabidi aende kwa mkopo timu kama namumgoYani Kibu asee [emoji1][emoji1] kuna muda unajiuliza ni professional player kweli?