ukweli ni kuwa uwezo binafsi wa morison ndio ulitubeba mpaka kufika robo fainali ya caf. aniyebisha aje hapa tupeane takwimukama foward ya simba ndio hivi,. hata kufika robo ya confederation ni walijitahidi sana....
ukweli ni kuwa uwezo binafsi wa morison ndio ulitubeba mpaka kufika robo fainali ya caf. aniyebisha aje hapa tupeane takwimukama foward ya simba ndio hivi,. hata kufika robo ya confederation ni walijitahidi sana....
Haitajiki huko alikochukuliwa....abakie ShimbwaHuyu Banda arudishwe alipokuwa
Madrid ya Hispaniola, kumbe sio kocha ni mkata nyasi uwanjani,, hahaaaHii timu ina kocha la madrid
Kulikuwa na bia inaitwa bingwa, kama hiyo bas sawa"yanga kawaida yenu kuongoza ligi mwanzo"
"Mwisho wa siku simba bingwa yanga tushawazoea"
Hizi kauli zimepotelea wapi?
Namwita kiongozi wao mkuu, scar unaitwaMimi ni simba damu mbona wenzangu siwaoni wamekimbilia wapi jamani?
Namwona babu Onyango anapashaNgoja kwanza tukapate dawa ya kutuliza maumivu baada ya kukoswa koswa kuangukiwa na kitu kizito kichwan leo
View attachment 2229840
Tunguri FC,Naangalia marudio azam tv kati ya azam na dada yake kolowizard hapa,naona kolo anaongoza 3 bila
View attachment 2229845
Af Jamaa Eti Kazaliwa Mwaka 2000Yani Kibu asee [emoji1][emoji1] kuna muda unajiuliza ni professional player kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122]Tunguri FC,
Kila mtu na mtazamo wake kenge weweAcha uwongo....dogo Lusajo Mwaikenda amemfanya tshabalala aonekane wa kawaida sanaaa
Aliwaingiza choo cha mashoga kwa kauli yake hii
Akina nani hao [emoji848][emoji847]wanakunya
[emoji13]