FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

Replay za azam zinaficha matukio muhimu sana


Hapa simba alikuwa anacheza kona lakini hatukuona kwasababu ya replay yao
 
Mechi ya marafiki wa tumbo moja. Hapo hata muamala usiposoma,lazima mmoja aachiwe,mwenye ndoto za kuufukuzia ubingwa
 
Azam wanataka kupiga chenga hadi kipa ndio wafunge?
 
Aaah imeluwaje hapa halijawa goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…