Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
I Told You Mo Fuckers [emoji41]Rodgers Kolaaaaaaa [emoji460]
Ni kweliAzam wameupiga mwingi sana kwa dakika hizi
Aslileta kibesi kwa pablo wa madiridi na moMbona chama hayupo kwenye kikosi siku za karibuni, ana shida gani?
Si yeye tu hata BoccoHuyu Kibu hana hadhi ya kucheza Simba
Nilisikia yeye na BM3 hawakuwa na maelewano mazuri na pablo.Mbona chama hayupo kwenye kikosi siku za karibuni, ana shida gani?
Yule anajiona star wakati kashindwa ligi kubwaMbona chama hayupo kwenye kikosi siku za karibuni, ana shida gani?
Mmeshaanza kumgeukaHuyu Kibu hana hadhi ya kucheza Simba
Wakimiliki viwanja, ule uwanja wa taifa na ule wa lupaso vitapoteza mapato.Simba na Yanga zijenge uwanja hata mdogo kama huu
BM3 tayari katembezwa ipi hatma yake??Nilisikia yeye na BM3 hawakuwa na maelewano mazuri na pablo.