ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Ana harakati zisizo na maana
Bado tunachangishanaSimba na Yanga zijenge uwanja hata mdogo kama huu
Duuh hakuna mkubwa zaidi ya timu, kama ni kweli alifanya hivyo basi alikosea sana.Yule anajiona star wakati kashindwa ligi kubwa
Hawa wakongwe wana uswahili mwingiJamani uwanja wa Azam unavutia sana ,napenda hayo matangazo yanayopita hapo
Hizi klabu kongwe zijitafakari maanina
Boccooooo
Huyu mkongwe kazinduka mechi hizi za mwisho wa msimu.Bocco Goooooooooooooaaal gooal
gg,fast half au wapi?Tayari nimeingiza 70,000
Kwa simba kufunga
Majeruhi yeye na mkudeYule anajiona star wakati kashindwa ligi kubwa
Anaviuzembe flani hivi yani very annoyingHakuna mchezaji hapo
Sehemu yaki assit ye amebaki ana danki danki tu na mpira kwenye eneo zuri la kushambulia mpaka kapokwa mpira wenyeweIlitakiwa aweke kamba hata mbili leo.