FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

Kocha wa Simba si ampigie kocha wa Real Madrid ampe mbinu [emoji23]
 
Yule anajiona star wakati kashindwa ligi kubwa
Duuh hakuna mkubwa zaidi ya timu, kama ni kweli alifanya hivyo basi alikosea sana.

Hii kutopangwa mara kwa mara inamshusha sana ni afadhari aangalie ustaarabu mwingine tu.
 
Baada ya HT,Azam watafanya ujinga wa kucheza defense game itayowagharimu.
 
Back
Top Bottom