FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

Sakhooo......Ilikuwa nafasi nzuri kwa Simba SC, na imekuwa salama kwa Azam FC
 
26'

Manula anafanya save nyingine kutoka kwa dube
 
33'

Azam wanapata freekick ni nje kidogo usawa wa hatua tatu mpaka kuifikia box
 
Goooooooooooooaaal gooal

Azam wanatangulia kwa bao moja kupitia kwa Kola | Azam FC 1-0 Simba SC
 
Back
Top Bottom