Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Itakua ndotoDaaah sasa kwa dakika hizi 5 za nhongeza zilizobaki hamuoni kadi nyekundu itaenda kutugharimu
Costal wanaweza kurudisha tatu na kuongeza
Washindwe wao kutumia fursa
Hapa ma kocha ndio huwa siwaelewi.Daaah sasa kwa dakika hizi 5 za nhongeza zilizobaki hamuoni kadi nyekundu itaenda kutugharimu
Costal wanaweza kurudisha tatu na kuongeza
Washindwe wao kutumia fursa
Mkuu, umeandika kwa hisia kali sana[emoji23]Tunakushukuru refarii kwa kutunyima penalty yetu halali kwa faul ya majimengi,sisi watu wa TANGA tunamuachia MUNGU.
Amina mdalaUtukufu ni kwako Mungu
Thanks God [emoji8][emoji120]
Na hapo Phiri sio straika kama Mayele, je angekuwa straika[emoji23]Mimi ni Utopolo ila nakiri Phiri ni nyoko, Mayele ni takataka tu