FT: Ligi Kuu Bara | Coastal Union 0-3 Simba SC | Al Janoub Mkwakwani 03/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Coastal Union 0-3 Simba SC | Al Janoub Mkwakwani 03/12/2022

90+5' Kuelekea kumalizika kwa mchezo

Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi wa mabao matatu kwa bila

FT: Coastal Union 0-3 Simba SC

......[emoji2788] Ghazwat...
 
Daaah sasa kwa dakika hizi 5 za nhongeza zilizobaki hamuoni kadi nyekundu itaenda kutugharimu

Costal wanaweza kurudisha tatu na kuongeza

Washindwe wao kutumia fursa
Hapa ma kocha ndio huwa siwaelewi.
 
Mpira kwishne,tusubirie kesho kuwaona wajela jela wakitonesha palepale kwenye mshono
 
dunia imeona
20221203_172119.jpg
 
Back
Top Bottom