Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaaa😂Mimi ni Utopolo ila Phiri ni nyoko, Mayere ni takataka tu
Viongozi wa Fifa wote wametolea macho mechi hii afu we unaona Wrld Cup ndio big issueHuu usaka unaisha mda gani nikaangalie zangu wc
Kwan juma mwambus na yanga wakoje?. USIPANICNinacho wakubali Simba na Costal wao wanakubaliana kama ilivyokuwa kwa Mgunda,so washakubaliana leo Simba amfunge ngapi costal.
Costal na Simba ndugu hao, so hongereni Simba kwa kuchukua point zenu tatu.
Uwanja haushawishi kuonyesha ufundiIngawa SIMBA anaongoza lakini, kiufundi nawaona bado ..
SureUwanja haushawishi kuonyesha ufundi
Wewe fala ingiza pua humo uwanjani upewe nambahivi coastal na simba kuna utofauti? hii ni mechi ya kukamikisha ratiba ufisadi katika soka ni pamoja na kujisababishia penart na kujisabbishia kadi nyekundu.
Sijajua yule mdau msimu huu kama atatoa ng'ombe tenaJamani si tulikubaliana yake ni ng'ombe?
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora kuangalia Mpali kuliko huu uchafu