Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mkuu tuache kwanza tumevurugwaWenyewe wanatuchukulia kwa uzito, kumbe tunawazingua tu. Maana hata wakishinda, haisaidii chochote. Kesho tukicheza, tunarudisha tena gap lile lile la point 6.
Wananchi hatuna presha! Tunajua ubingwa ni wetu kwa mara ya pili tena msimu huu.Mwanzo wa Watani Kuanza Kuingia Mitini....!
Tabu ipo pale pale mpaka kilele mkione kichungu.....
Kaja na rundo la kadi za njano maana anazitoa balaaHii mechi ishaharibiwa na huyu Beijing. Filimbi nyingi bila sababu
Boko ni uzee tu lilikuwa jina lileHujamuona hata anavyochukua mpira mkuu. Huwezi kumlinganisha na Bocco. Huyu akicheza na Chama, Saidoo na Sakho utopolo watajua hawajui.
Tumpe muda kocha wetu angalau mechi 5 atengeneze timu yake, kwasasa tukubaliane kwanza tutengeneze timu,sisi ubingwa tujipange mwakaniPamoja na yote, kocha bado namuona ana mfumo wa kipumbavu. Timu haichezi mpira inabutua butua tu. Hata kama kocha anataka mpira wa kasi, inatakiwa timu icheze mpira wa pass lakini ziwe za haraka haraka sio kubutua butua tu. Mpira unachezwa chini sio juu, wachezaji hawana mabawa kwamba watapaa.
KwendraaaInshallah
Guvu moya π
Tumpe heshima yake John mkuu πBoko ni uzee tu lilikuwa jina lile
Natafuta kamba yangu hapa siioni[emoji2][emoji2][emoji2]
Topolokwinyo tuliza kalioWeita niiongeze kinywaji hapa.........nipumzike kidogo
Guvu moya π
"Make".Utopolo niliwaambia make kwa kitulia
πππNatafuta kamba yangu hapa siioni[emoji2][emoji2][emoji2]
Si huwa mnamponda eti anacheza na jukwaa ndo mwone umuhimu wakeYani mpaka apone Enonga tutakuwa katika hali mbaya sana
Kumbe roho juu juu topolo usiye na akiliWenyewe wanatuchukulia kwa uzito, kumbe tunawazingua tu. Maana hata wakishinda, haisaidii chochote. Kesho tukicheza, tunarudisha tena gap lile lile la point 6.