Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa majiWeita niiongeze kinywaji hapa.........nipumzike kidogo
Guvu moya 😀
Fikiria mtu wa kawaida tu unayaona haya, sasa inakuweje kocha kafuka mabara haoniTinyo toa Bocco ingiza Mohammed Mussa utakuja kunishukuru. To Kibu ingiza Okrah. Ukifanya hivi mechi inaisha kwa goli nyingi tu.
KuwaArsenal - Man united 1:1
Mkeka umecheua GG✅Arsenal - Man united 1:1
Hiyo ni mpakaWananchi hatuna presha! Tunajua ubingwa ni wetu kwa mara ya pili tena msimu huu.
Hawa watu alioleta kocha wote magarasa. Plus mzunguQattara ni fraud pale Simba Sc, ni beki mpumbavu sana ambaye sioni akiisaidia team kwa chochote.
Sawadogo ni player wa maana.
Majembe mkuu waangalie vizuri sekandi hafuHawa watu alioleta kocha wote magarasa. Plus mzungu
Jambo la kushangaza sanaFikiria mtu wa kawaida tu unayaona haya, sasa inakuweje kocha kafuka mabara haoni
Kaa kwa kutulia sasaNinayo hapa mkuu
Guvu moya 😀
Nimetulia napata burudaaani hapa kwa chezaji jipya,SawadogoKaa kwa kutulia sasa