Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Tuma salam kwa ShadeeyaTumpe muda mkuu
Guvu moya ๐
Hizi anazocheza nazo ni ndezi kabisa!Simba anashida hii mechi
NawapDaaah Dodoma wanakuja ๐๐๐
Ndio nini kudisikiliza?Unadikiliza TIBISII ๐
Tumpe muda mkuu,si unajua mgeni huyuMi bado nalia na Kocha tu. Hamna maana kuwa na Kocha asiyeweza kuusoma mchezo huku akiwa uwanjani.
Utakuwa na makengeza[emoji43]โ[emoji94][emoji43]โ[emoji94]Naiona draw kwa mbaaali sana tena ya mbeleko. Ila kipigo hakiepukiki
Hakika๐Kibu Denis apewe ulinzi
Mkuu tumpe muda Kocha wetuSimba isionee huruma mtu. Isajili upya msimu ukiisha. Kuna mizigo mingi sana humu
Alipewa zawadiMi bado nalia na Kocha tu. Hamna maana kuwa na Kocha asiyeweza kuusoma mchezo huku akiwa uwanjani. Kibu ni mzigo uwanjani.
Jembe letuHakika๐
Una shambaJembe letu
Nazungumzia uwezo wa wachezaji.Mkuu tumpe muda Kocha wetu
Guvu moya ๐
Tulia we kolo hii ni 1-1Utakuwa na makengeza[emoji43]โ[emoji94][emoji43]โ[emoji94]