FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

Ktk bench hakuna option kubwa ya sub...
Inabidi kocha aendelee tu na akina nyoni, kibu na Boko...
 
Huyu kocha akimaliza mwezi huu pale Simba niiteni Triple C Mwamba wa Lusaka nimekaa paleee
 
Mashabiki wa Simba wanaongoza ila bado wanalalamika "huu sio mpira wetu " wakati waocheza ni wao.

Lile goli wangekuwa Yanga wangesema wamenunua.
 
Mashabiki wa Simba wanaongoza ila bado wanalalamika "huu sio mpira wetu " wakati waocheza ni wao.

Lile goli wangekuwa Yanga wangesema wamenunua.
Sisi kama Simba tunamchunguza pia kipa wetu Manula lile goli vs Mbeya City,tunawasiwasi walimpa Bahasha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…