Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ndiyo hapo DodomaUna shamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hapo DodomaUna shamba
Bado hawajazoeana sana,maana wengi wageni humo nawengine hawajazoea kucheza pamojaNazungumzia uwezo wa wachezaji.
Hata Sewadogo ungemtaja mkuu,unawataja wenyeji tu,umewakosea sanaKtk bench hakuna option kubwa ya sub...
Inabidi kocha aendelee tu na akina nyoni, kibu na Boko...
Naona unanilia mudaBado hawajazoeana sana,maana wengi wageni humo nawengine hawajazoea kucheza pamoja
Wewe huna akili timamuGoooooooooooooooooooooool! Dodoma 1
Hapana ndiyo ukweliNaona unanilia muda
U mean "internet"South africa washakata Umeme hawa wasengeeee sioni gameee
Umeme ukikatika hata internate inkuwa 2G au G
Wewe huna akili timam
We mzima Wewe?Goooooooooooooooooooooool! Dodoma 1
Sisi kama Simba tunamchunguza pia kipa wetu Manula lile goli vs Mbeya City,tunawasiwasi walimpa Bahasha kabisaMashabiki wa Simba wanaongoza ila bado wanalalamika "huu sio mpira wetu " wakati waocheza ni wao.
Lile goli wangekuwa Yanga wangesema wamenunua.
🤣🤣Sisi kama Simba tunamchunguza pia kipa wetu Manula lile goli vs Mbeya City,tunawasiwasi walimpa Bahasha kabisa
Unaboa sana,hebu pisha basi wenye kuleta real updates.Huu utoto wako peleka FB huko.Goooooooooooooooooooooool! Dodoma 1
Tulia kolo wwWe mzima Wewe?