FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

FT 0-1
Tuna kazi kubwaya kufanya
Wachezaji wengi sio kikosi cha kwanza. Wengi hawajacheza pamoja muda mrefu! Hii game kutegemea makubwa ni uongo, tuliomba tushinde tu.

Yanga wangekosa Wachezaji wengi kiasi hiki na kushinda ingekuwa habari kubwa ila sisi Simba sijui tunajiona Barcelona? Naamini timu itatulia tu!

Binafsi nashukuru hatujadondosha pointi hizi game mbili, hizo zinazokuja tutaona tofauti sasa.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Tumeshinda lakini mashaka mengi kuliko. Tuna wachezaji lakini nna wasiwasi na namna wanavyowatumia. Kutoka boli itembee hadi boli butuabutua
Bado hawajazoeana, kuna wachezaji wageni, kocha pia mgeni baada ya muda kutakuwa na muunganiko mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…