Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Tuwe fea mkuuKwa huu ujinga anaofanya ipo siku atarushiwa makopo uwanjani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwe fea mkuuKwa huu ujinga anaofanya ipo siku atarushiwa makopo uwanjani.
Asante sana tuko pamojaNimekupenda buure zinazile[emoji7]
MnoooFT 0-1
Tuna kazi kubwaya kufanya
kocha alisema falsafa yake ni kushambulia ila hakuna timu hapa.Chagiriki kimoko
We zinazile tuko pamoja ndo nn sasaAsante sana tuko pamoja
Hata ungesema UMITASHUMTA sisi hatujali kikubwa point 3 tunasonga mbeleUmisseta
Nasemaje...boli la mgunda ni bora sana kuliko la huyu mbrazil...ila ngoja tuoneTumeshinda lakini mashaka mengi kuliko. Tuna wachezaji lakini nna wasiwasi na namna wanavyowatumia. Kutoka boli itembee hadi boli butuabutua
Ni kama timu haino kocha, watu wameokotwa kijiweni tu wakaitwa uwanjaniTumeshinda lakini mashaka mengi kuliko. Tuna wachezaji lakini nna wasiwasi na namna wanavyowatumia. Kutoka boli itembee hadi boli butuabutua
Wachezaji wengi sio kikosi cha kwanza. Wengi hawajacheza pamoja muda mrefu! Hii game kutegemea makubwa ni uongo, tuliomba tushinde tu.FT 0-1
Tuna kazi kubwaya kufanya
Yaani nipeni kazi niwaketee wachezaji dizaini ya kibu,kwpama na kyombo huku tandika wamejaaHata ungesema UMITASHUMTA sisi hatujali kikubwa point 3 tunsonga mbele
Hujamuona Kocha wenu akijipakulia minyama hapo kwenye interview 😀Ni kama timu haino kocha, watu wameokotwa kijiweni tu wakaitwa uwanjani
Bado hawajazoeana, kuna wachezaji wageni, kocha pia mgeni baada ya muda kutakuwa na muunganiko mzuriTumeshinda lakini mashaka mengi kuliko. Tuna wachezaji lakini nna wasiwasi na namna wanavyowatumia. Kutoka boli itembee hadi boli butuabutua
Tusubiri.... tusubiri...Tumeshinda lakini mashaka mengi kuliko. Tuna wachezaji lakini nna wasiwasi na namna wanavyowatumia. Kutoka boli itembee hadi boli butuabutua