FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

Alikuwa anajiona bado yupo katika timu ndogo Coastal Union kumbe ni Timu Kubwa Simba SC, ndo maana alikuwa akisema hayo.

Mkuu hyperkid kumbe ulikuwa unamfuatilia sana kwenye mikutano yake na waandishi wa habari.
Nilikula namsikiliza sanaa nikagundua huyu hajui kukaa na timu kubwa pia kufundisha mastar nichangamoto
 
Karibu kwenye show ya Mnyama Mkali Mwituni Simba SC [emoji881] kupitia kwa Nyota Wapya Sawadogo na Baleke..!
 
Kocha anawapa morari sana wachezaji na mashabiki pia,si mgunda kila siku ooh dodoma ni timu nzuri tunawajua ,tunaheshimu na blabla kibao zinazojirudia
Hizi ndio sura halisi za Watanzania, unafiki ndio zetu hasa wakimpata mtu mpya wa zamani anaonekana hamna kitu. Kusema nawaheshimu mpinzani leo limekuwa ni kosa. Wakati kwenye mpira ni jambo la zuri na kawaida kumpa heshima mpinzani wako haudharau mechi. Huyo Mgunda anayekashifiwa ndiye aliyewapeleka hatua ya makundi CAFCL na kuifanya Simba ipiganie ubingwa huku ikiwa timu pekee yenye mtaji mkubwa wa magoli. Muwe na shukrani
 
Mechi saa ngapi ?

#GuvuMoya #UshindiLazima
Mkuu adriz hata wewe husomi Uzi mpaka mwisho...! Sikosi kuandika muda wa mchezo hata siku moya..Pitia hapa kwenye Uzi " Kumbuka mchezo ni kuanzia saa 1:00 Usiku [emoji354]
 
Umelewa vibaya ndugu
 
Nadhani nimemulewa mdau kuwa Kocha Mkuu, ni vizuri kubadilika kwenye mikutano yako ya waandishi wa habari.

Kusema nawaheshimu wapinzani ni Neno Maarufu hutumia sana Makocha na Wachezaji, ni vizuri kutumia lakini si kila mechi kwani inaboa.

Halafu sidhani kama amemshusha Mgunda kihivyo, Tunampenda na Tunamuhitaji na amefanya mazuri Simba SC kama wengine ndo maana yupo
 
In Kibu we trust #KibuAttheWheel
 
Nimemjibu hapo juu..! Arejee ili twenda sawa.
Kiongozi alielewa kengeza,shida mgunda anatabia kila akiulizwa majibu yake ni yakujirudia na yasiyo ya kujiamini ndio chanzo Cha madroo na kufungwa Kwa kukosa morari
 
Wachezaji waliopo wa Simba ni wazuri na inashinda.
Hakika, tofauti ni kwamba katika Timu kuna Kikosi Kinachoanza na Kingine Kinasubiri.

Ijapo kuna Nyota ya Viwango vya Juu
 
Huyo ni Mtanzania, Watanzania wote wakihojiwa kauli zao za utangulizi hufanana. Wachezaji na makocha wote wakibongo utasikia wakianza kwanza kwa kusema "kwanza namshukuru Mungu kwa............. Ni mazoea tu
 
Makolo mjue bila kupewa penati au redcad basi leo makolo mnapoteza point 2 au zote 3

Kila lakheri Dodoma jiji timu ya makao makuu ya nchi yetu tupo pamoja nanyi
Penalty na Kadi Nyekundu Au Njano si katika sehemu ya mchezo wa Soka?

Mtani Wangu Gongowazi..[emoji196]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…