Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Nilikula namsikiliza sanaa nikagundua huyu hajui kukaa na timu kubwa pia kufundisha mastar nichangamotoAlikuwa anajiona bado yupo katika timu ndogo Coastal Union kumbe ni Timu Kubwa Simba SC, ndo maana alikuwa akisema hayo.
Mkuu hyperkid kumbe ulikuwa unamfuatilia sana kwenye mikutano yake na waandishi wa habari.