Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
The gunners ✅Arsenal wameongeza bao la pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The gunners ✅Arsenal wameongeza bao la pili
Uchafu huuThe gunners ✅
Skautingi yetu mkuu ndiyo shidaFikiria Qatara anamzidi mshahara Kened Juma
We ni shabiki wa ibilisi wekundu nini mkuu?Uchafu huu
Wapo wengi tu, huyo Kyombo anazidiwa sana tu na yule dogo mpemba. Ni mabadiliko ya kipuuzi sana benchi la ufundi wanafanya. Yanaweza yakaigharimu timu.Ktk bench hakuna option kubwa ya sub...
Inabidi kocha aendelee tu na akina nyoni, kibu na Boko...
Tumweshimu kocha wetu mkuuWapo wengi tu, huyo Kyombo anazidiwa sana tu na yule dogo mpemba. Ni mabadiliko ya kipuuzi sana benchi la ufundi wanafanya. Yanaweza yakaigharimu timu.
Benchi la ufundi wanakula mishahara ya bure tuSomba inachezewa, ikipata mpira inapoteza
TumerudishaaaaaaAThe gunners ✅
Tuache na Timu yetusimba yakimataifa mpaka nacheka.
Kocha wetu mpyaSimba inasikitisha Sana.
Daaah 🙁TumerudishaaaaaaA
Wanaostahili mishahara wachache sana. Hawafiki 10Simba inasikitisha Sana.