FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

Naona wazee wa juju wanachezewa nusu uwanja hapa! Hizi dakika 15 za mwisho wanapelekewa tu pumzi ya moto! Yaani simba ndiyo ya kucheza counter attack kweli!!

Dah! Hata siamini kwa kweli.
 
Back
Top Bottom