Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3038][emoji3038][emoji3038]Sio Wizard Fc wenyewe watakushitaki inapaswa iwe KoloWizard Fc
Ndiyo best player wenu sasa,acheze nani? Japo ktk nafasi 10 anafunga 2Kibu d anapewa nafasi ila haitendei haki
Mpole ana parapara nyingi hata mechi dhidi ya Yanga alikosa nafasi nyingi kwa kukosa utulivu..Mpole na Sakho ubinafsi unazicost timu zao
Ile ni red card kabisa ila refa anamaelekezo kutoka juuMmeona rafu ya Kagere refa kakaushaaa aiseee duh
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watoke sare hivyo hivyo Simba yaani hata CCM Kirumba haijatapikaaaaaaMpole ana parapara nyingi hata mechi dhidi ya Yanga alikosa nafasi nyingi kwa kukosa utulivu..
1-1Nipeni matikeo
Ulitaka refa afanyeje sasa?Mmeona rafu ya Kagere refa kakaushaaa aiseee duh
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app