Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Daragija anawatafutia KoloWizard Goal HawaIle ni red card kabisa ila refa anamaelekezo kutoka juu
Hawezi kutoa red kadi huyo .Anawalinda wachezaji wa Simba kwa sababu ya mechi ya Yanga ijayoIle ni red card kabisa ila refa anamaelekezo kutoka juu
Bora wewe, ukweli utakuweka huru.Simba hii mechi tumetia aibu ssna kwakweli!!
Upumbavu tu huo,kamati ya 72 hrs inatakiwa ipitie lile tukioHawezi kutoa red kadi huyo .Anawalinda wachezaji wa Simba kwa sababu ya mechi ya Yanga ijayo
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Huyu anaweza kwenda peponi