FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

😂😂😂 huko mayele akiwafurusha mtakimbilia wapi 😂😂😂
🏃🏃🏃
Mayele tumecheza naye mara 3 katufunga mara 1

Na sababu ya kufunga nimeelezea kwenye post namba 119
 
Na mewarm kweli kimbizwa saanaa mpila mwingi mepigiwa
Hiyo kawaida

Hata wewe ukijikuta kwenye ugomvi na mdogo wako lazima dogo ataonekana kujituma kwa kutumia nguvu sana ili aendane na kasi yako
 
Shughuli ni pale mdogo akikuvua nguo na wewe bila stara kuinama kuiokota 🦍aibu aibu
Hiyo kawaida

Hata wewe ukijikuta kwenye ugomvi na mdogo wako lazima dogo ataonekana kujituma kwa kutumia nguvu sana ili aendane na kasi yako
 
Critism ya kiuto hata haiko proper

Hivi kwa michambo yenu na maneno makali ya kutuita majina ya kukera hili lingekuwa na ukweli leo hii si tungemuona white akituita jina hilo?

Afu kwanini kuna stori za kutuhusu sisi tunazipata kutoka kwenu tu?

Hii club yenu mmeibest sana kwenye historia na ndio maana nawafananishaga na member anayejiita mohammed said

Mnaipenda sana jana kwasababu ndiko faraja yenu iliko
Mshalipa ile faini ya kuwasha moto wa uchawi uwanjani?
 
Back
Top Bottom