Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Aah Ok, Basi Sawa Tunasubiri Hiyo Pumzi Ya Moto Apo Tar 28 [emoji23]Hii ya leo ilikuwa ni warmup tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah Ok, Basi Sawa Tunasubiri Hiyo Pumzi Ya Moto Apo Tar 28 [emoji23]Hii ya leo ilikuwa ni warmup tu
😂😂😂 huko mayele akiwafurusha mtakimbilia wapi 😂😂😂Na huko pia tutahama
shimba gufu moya .Koh koh koh
Ngoja nimuite mwalimu wangu wa hesabu OKW BOBAN SUNZU aje anisaidie. 🤣🤣Wataalamu wa kukokotoa mtuambie point gap ni ngap ? na zimebaki game ngap ligi kuisha .
Hii ya leo ilikuwa ni warmup tu
Mayele tumecheza naye mara 3 katufunga mara 1😂😂😂 huko mayele akiwafurusha mtakimbilia wapi 😂😂😂
🏃🏃🏃
Endelea kuona baridi lakini LIVE ipo mpaka sasa..wala hatupati shida kwa mambo mepesi yaani..!Hili baridi huku kileleni hapana kwa kweeli.
View attachment 2234530
Hahahaaaa. Kabisaa Jambo dogo sana hilo atii.Endelea kuona baridi lakini LIVE ipo mpaka sasa..wala hatupati shida kwa mambo mepesi yaani..!
Simba SC..!
Hiyo kawaidaNa mewarm kweli kimbizwa saanaa mpila mwingi mepigiwa
👊👊👊Mayele tumecheza naye mara 3 katufunga mara 1
Na sababu ya kufunga nimeelezea kwenye post namba 119
Walete walete hao utopolo. Watalala na viatu siku hiyo.
Siku hizi unanifurahisha sana Mtani. Kumbe mambo yakienda kombo hata na spidi ya kuandika inakataga eee? 🤣🤣
Kileleni joto au baridi?😅Hili baridi huku kileleni hapana kwa kweeli.
View attachment 2234530
😀😀shimba gufu moya .
Hiyo kawaida
Hata wewe ukijikuta kwenye ugomvi na mdogo wako lazima dogo ataonekana kujituma kwa kutumia nguvu sana ili aendane na kasi yako
Mshalipa ile faini ya kuwasha moto wa uchawi uwanjani?Critism ya kiuto hata haiko proper
Hivi kwa michambo yenu na maneno makali ya kutuita majina ya kukera hili lingekuwa na ukweli leo hii si tungemuona white akituita jina hilo?
Afu kwanini kuna stori za kutuhusu sisi tunazipata kutoka kwenu tu?
Hii club yenu mmeibest sana kwenye historia na ndio maana nawafananishaga na member anayejiita mohammed said
Mnaipenda sana jana kwasababu ndiko faraja yenu iliko
Hivyo hivyo.😂Sijakuelewa hata. 😏
Jumamosi Mayele atatetema tena CCM KirumbaEndelea kuona baridi lakini LIVE ipo mpaka sasa..wala hatupati shida kwa mambo mepesi yaani..!
Simba SC..!