Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sasa ipi ni busara kuokota nguo ujistiri au kuiacha ili ubakie mtupu?Shughuli ni pale mdogo akikuvua nguo na wewe bila stara kuinama kuiokota š¦aibu aibu
Ni kawaida hiyo, haijalishi ni mara ngapi dogo unamtandika kipigo heavy na watu wanaona
Ila kofi atalokupiga yeye litasahaulisha vile vibano vyoote ambavyo ulikuwa unamtandika.
Hii ni warmup na wala msitegemee 28 kukutana na aina hii ya upinzani sio mimi tu hata wewe hukubaliani na hiyo ndoto