FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

Shughuli ni pale mdogo akikuvua nguo na wewe bila stara kuinama kuiokota šŸ¦aibu aibu
Sasa ipi ni busara kuokota nguo ujistiri au kuiacha ili ubakie mtupu?

Ni kawaida hiyo, haijalishi ni mara ngapi dogo unamtandika kipigo heavy na watu wanaona

Ila kofi atalokupiga yeye litasahaulisha vile vibano vyoote ambavyo ulikuwa unamtandika.

Hii ni warmup na wala msitegemee 28 kukutana na aina hii ya upinzani sio mimi tu hata wewe hukubaliani na hiyo ndoto
 
Kikubwa ambacho mnaeza pata ni sare halafu
Sasa ipi ni busara kuokota nguo ujistiri au kuiacha ili ubakie mtupu?

Ni kawaida hiyo, haijalishi ni mara ngapi dogo unamtandika kipigo heavy na watu wanaona

Ila kofi atalokupiga yeye litasahaulisha vile vibano vyoote ambavyo ulikuwa unamtandika.

Hii ni warmup na wala msitegemee 28 kukutana na aina hii ya upinzani sio mimi tu hata wewe hukubaliani na hiyo ndoto
 
Sawa tumekubali Yanga Bingwa wa ligi kuu. Lakini Simba ni Bingwa wa Kombe la Azam Shirikisho. Tuonane mwakani tukiwa tumesajili KIKOSI CHA KISASI. Kuteleza si kuanguka. Utopolo mkae sawa, tunakuja kivingine kabisa msimu ujao...
 
For the very first time naona shabiki wa Simba anafurahia Mpole kuwafunga. Duuuuiih. This is Tanzania football. Yanga hawana tena press. Wanaweza kuwekeza efforts zao zote kwa Mayele
Cha msingi george mpole kafunga baasi
 
Nafananisha hapa kama miaka inavyozidi kusogea namba za magoli zinaongezeka au kupungua

Kulikua na season ambayo kagere alimaliza akiwa na goli 20+

Saizi sioni dalili za kufikia digits hizo
Ukiona hivo ligi imekuwa ngumu zaidi ya zamani
 
For the very first time naona shabiki wa Simba anafurahia Mpole kuwafunga. Duuuuiih. This is Tanzania football. Yanga hawana tena press. Wanaweza kuwekeza efforts zao zote kwa Mayele
Na kwani hujaona kwa mara ya kwanza wana yanga wame maindi george mpole kufunga?
 
Ukiona hivo ligi imekuwa ngumu zaidi ya zamani
Kama ligi imekuwa ngumu basi ni dhahiri tumekuwa na timu bora zenye ushindani

Sasa mbona kwenye mashindano ya kimataifa zinatolewa mapema?
 
Sasa kwanini mteleze

Back
Top Bottom