Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buhahahah Simba Ni Lidude Likubwa Sana [emoji23]Tukiongeza zilizobakia 15 na zile za kimataifa basi zinatosha kabisaaa sisi kuwa mabingwa kwa mara ya 5. [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliamua kuwaachia tangu mwanzo wa msimu.Huku kwenye ligi mshakubali? [emoji2]
Ewaaa!! Shukran Mtani 🙏🙏Msimu umekwishaaa hongera Shadeeya kwa ubingwa.
Tukutane ASFC
😅😅Buhahahah Simba Ni Lidude Likubwa Sana [emoji23]
Mmeshapotea nyie badala ya kugombea kikombe mmefikia hatua ya kugombania kiatu sasa ! na mbaya zaidi kiatu mnachogombea sio mkipate nyinyi...huu ni ujuha uliopitiliza!Sisi mashabiki wa Msimbazi leo tunaombea mpole apate goli ili kiatu cha ufungaji bora kisiende kwa yule wa kutetema. Hata tukifungwa goli moja kwa bila fresh tu ili mradi Mpole atikise nyavu. Scars
Ukweli ni kwamba mtachukua ubingwa mkiwa mmechoka sana 😁😁Sisi tunataka George afunge hata hat trick hatujali. Tunachotaka game iishe sare au mfungwe ili tutangaze ubingwa mapema tusichoshane.
"Sifuatiliagi ligi dhaifu"alisikika kolo m1We hujaangalia mechi, hujasikiliza mechi, hujasoma hata update unataka nikujibu nini?
Kombe lao kwasasa ni George mpoleSimba wanagombea kombe gani
Tarehe 28 lazima muwashe moto uwanjaniUkweli ni kwamba mtachukua ubingwa mkiwa mmechoka sana 😁😁
Halafu kimataifa mmetengewa mechi mbili guy, mnarudi Kuna kugawa bahasha na kwenda kwa waganga na Alphard nyeusi huko ipogoro mwanza kama mlivyofanya jana ili eti mumfunge Simba tarehe 28.
Ligi ya Zambia na yetu ipi bora? Waliingiza timu ngapi uko Kwenye robo au nusu ya mashindano ya CAF?Kama ligi imekuwa ngumu basi ni dhahiri tumekuwa na timu bora zenye ushindani
Sasa mbona kwenye mashindano ya kimataifa zinatolewa mapema?
Tunaonga sana mpaka kwenye mashindano ya kimataifa, wewe hujui kitu!Kama ligi imekuwa ngumu basi ni dhahiri tumekuwa na timu bora zenye ushindani
Sasa mbona kwenye mashindano ya kimataifa zinatolewa mapema?
Na Icho Kiatu Mayele Atachukua Tu Utaona Mkuu Tar 29 Jun.Mmeshapotea nyie badala ya kugombea kikombe mmefikia hatua ya kugombania kiatu sasa ! na mbaya zaidi kiatu mnachogombea sio mkipate nyinyi...huu ni ujuha uliopitiliza!
Asa ina maana Yanga imefikia hatua ya kushindana na ndumba fc? Dah kama kweli basi Yanga nawashauri waache haya mambo ya ndumba maana wakali wa ndumba hatuwawezi hata kidogo.Ukweli ni kwamba mtachukua ubingwa mkiwa mmechoka sana [emoji16][emoji16]
Halafu kimataifa mmetengewa mechi mbili guy, mnarudi Kuna kugawa bahasha na kwenda kwa waganga na Alphard nyeusi huko ipogoro mwanza kama mlivyofanya jana ili eti mumfunge Simba tarehe 28.
Kawaida hiyo Simba huwa hatutafuti mchawi 🤣🤣Wapi mdogo wangu ntazana ntazana. 😂😂