Sisi wanajangwani leo tunaombea Geita Gold washinde mechi ya leo ili tutatange ufalme wetu mapema kabisa kabla ya tarehe 28Sisi mashabiki wa Msimbazi leo tunaombea mpole apate goli ili kiatu cha ufungaji bora kisiende kwa yule wa kutetema. Hata tukifungwa goli moja kwa bila fresh tu ili mradi Mpole atikise nyavu. Scars
Hivi msimu wa mwaka jana mfungaji bora alikuwa nani na alikuwa ana magoli mangapi?Sisi mashabiki wa Msimbazi leo tunaombea mpole apate goli ili kiatu cha ufungaji bora kisiende kwa yule wa kutetema. Hata tukifungwa goli moja kwa bila fresh tu ili mradi Mpole atikise nyavu. Scars
Vipi ndugu mikia,yule Mpole mlikuwa mnamuombea kila siku ampite Mayele,vp mnaendelea kumuombea hata Leo?Vuguvugu na patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Mei 22, 2022 ambapo Wajimbaji wa dhahabu Geita Gold FC wanakiwasha dhidi ya Mnyama Mkali Mwituni Simba SC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Ni mchezo wa ushindani mkubwa kwa timu zote mbili, ambapo Geita Gold FC wanapingania kumaliza kwenye nafasi nne za juu kwenye ligi, huku Simba SC wakitaka kupunguza gepu la alama dhidi ya Yanga SC ambao wapo kileleni, hivyo hakuna timu inatamani kudondosha alama tatu.
Kocha msaidizi wa Geita Gold FC Mathias Wandimba amesema kuwa, wachezaji wake wapo vizuri kwa ajili ya kukikabili Kikosi cha Simba SC katika mchezo huo na kuongeza kuwa, vijana hao wa Msimbazi hawampi wasiwasi kwa kuwa Kikosi chake kuna vijana walio bora, wenye vipaji.
Naye Kocha wa Simba SC Pablo Franco amesema kuwa wataingia katika mchezo huo kwa tahadhari kubwa, kwa kuwa wanaenda kukutana na timu nzuri huku akiongeza kuwa, anafikiri ni timu bora zaidi msimu huu ameiona ikicheza vizuri kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza Simba SC waliibuka na ushindi wa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa..Je leo nani kuibuka na ushindi?
Kumbuka mchezo ni kuanzia saa 10:00 Jioni.. Usikose Ukaulizia
Kulitaka Mwana..Kulipewa Mwana
Bocco magoli 16. Unataka kusemaje mkuu?Hivi msimu wa mwaka jana mfungaji bora alikuwa nani na alikuwa ana magoli mangapi?
Una shingp?upate nambaJamani mwenye connection ya huyu mlkimbwende aliyekuwa ameshika tuzo hapo yule mrembo anipe....ndio type znagu hizo. Watu wa mwanza nipeni connection ya mrembo huyo
Laki kwenye shati hapaUna shingp?upate namba
Nafananisha hapa kama miaka inavyozidi kusogea namba za magoli zinaongezeka au kupunguaBocco magoli 16. Unataka kusemaje mkuu?
Tuma kwa tigo pesaLaki kwenye shati hapa
Njoo pm fastaTuma kwa tigo pesa