Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikia wanatobolewa hukuNn Huko?
Bado Mtu Mmoja Utabiri Utimie [emoji41]Mpole George [emoji460]
Offen Chikola [emoji460]
Kwamba Wanapuliziwa Wao Pumzi Ya Moto [emoji1787]Mikia wanatobolewa huku
Je unadhani kupungua kwa digits kuna ashiria nini mabeki wamekuwa imara zaidi? Ama kitu ganiNafananisha hapa kama miaka inavyozidi kusogea namba za magoli zinaongezeka au kupungua
Kulikua na season ambayo kagere alimaliza akiwa na goli 20+
Saizi sioni dalili za kufikia digits hizo
Hii timu ina magalasa mengi sana amini nakuambia halafu haiko compact kwenye kuzuia hua inafikiwa golini kirahisi sana.sijui benchi la ufundi hua halioni hii shida.sijui wachezaji hawaelekezeki!!Kikosi Cha Simba kilichoanza Leo hakina kabisa muunganiko!Simba ikishinda Kwa kikosi hiki itakuwa ngekewa!
Mayele Kesho Anarudi Tena Kambani Wala Usijali.Maombi ya mikia yanafanikiwa hapa,Mpole anampita Mayele
🤣🤣🤣Kwamba Wanapuliziwa Wao Pumzi Ya Moto [emoji1787]
Mpenja alisema wanapelekewa moto.Kwamba Wanapuliziwa Wao Pumzi Ya Moto [emoji1787]
Hilo halipingiki kabisaMayele Kesho Anarudi Tena Kambani Wala Usijali.