FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

Simba wameunawa mpiara ndani ya 18 mara mbili nzima
Wewe mwenyewe hauko tayari kumuona George mpole akifunga tena

Kati ya watu ambao hawataki kuona George Mpole akifunga sio tena Simba bali ni nyinyi Yanga

Sasa unasemaje?

Uko tayari kuona mwana anachukua kiatu mbele ya mayele au unyuti na kujifanya hujaona mpira waliounawa simba ili angalau gape la magoli liwe dogo?
 
namuona kocha NABI Kirumba stadium...
23 ana game kirumba na biashara utd....28th ana game na SIMBA ..

hivi TFF kuchagua nusu fainal ya FA kuchezea kirumba, ratiba haikuwa on favor kwa YANGA kweli..???

najaribu ku connect tabia za TFF kwa mwaka huu...[emoji3064][emoji3064]
 
Sawa 🐄 fc
Acha ubishi we mtoto wa 2000
Screenshot_20220522-163542.png
 
Wasamehe bure,ule moto waliopelekewa si mchezo
Roho za misahama mmezipata lini?

Si mseme tu kuwa hakuna kitu mnawishi itokee kama George mpole kuwa mbele kwa magoli kumzidi mayele.
 
Back
Top Bottom