FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

DED wa Geita na ofa nono

5D624204-87FC-4F53-A979-822DFF1E6E8D.jpeg
 
Tupo Mubashara kama kawaida yetu

Haya mambo ni rahisi wala hayatupi shida yoyote yaani..! Shadeeya
 
Kikosi cha Simba cha leo sijui kimeokotwa wapi simba hii eti ndio ichukue ubingwa waache yanga wabebe ndoo yao pale kati mipira aikai kabisa sijui wachezaji wa simba wamekula mlenda leo ni shida tu

Simba wakikosekana mabeki wa kusaidia kupandisha mashambulizi kapombe na muhamed hussein timu inapata taabu sana kupanga mashambulizi

Sako anakua anaruka ruka tu uwanja mzima Kibu anapoteza sana mipira pembeni Boko anakosa wa kumlisha mipira

Pablo ana mfumo mbovu sana kwa maoni yangu
 
Acha ubishi we mtoto wa 2000View attachment 2234437
Critism ya kiuto hata haiko proper

Hivi kwa michambo yenu na maneno makali ya kutuita majina ya kukera hili lingekuwa na ukweli leo hii si tungemuona white akituita jina hilo?

Afu kwanini kuna stori za kutuhusu sisi tunazipata kutoka kwenu tu?

Hii club yenu mmeibest sana kwenye historia na ndio maana nawafananishaga na member anayejiita mohammed said

Mnaipenda sana jana kwasababu ndiko faraja yenu iliko
 
Sisi tunataka George afunge hata hat trick hatujali. Tunachotaka game iishe sare au mfungwe ili tutangaze ubingwa mapema tusichoshane.
Kumbe miongoni mwenu bado kuna kundi la watu lina hofu huwenda kombe likachukuliwa na msimbazi?
 
Huyu jamaa mechi za Simba kaingia zote

Takwimu zinaonesha kocha Nabi kaingia kuangalia mechi nyingi za simba kuzidi wale mashabiki kindaki ndaki wa tawi la chalinze

Unajua kwasababu gani amekuwa interested sana na mechi za Simba

Ngoja nikupe sababu

Unakumbuka msimu unavyoanza alikuwa na mwanzo mgumu kila time timu yake ilikuwa inapoteza kila mechi

Nabi aliwekewa vikao nyomi kama ana solve msala wa kufilisi benki, nakumhuka moja ya utetezi wake alikuwa akisema hawa wachezaji mliosajili hawakuwa kwenye chaguo langu hivyo itanihitaji siku nyingi mpaka kuwaweka kwenye muunganiko

Club ikakosa subra mpaka kufikia hatua uongozi ukampa mechi mbili za mwisho ambazo kati ya hizo akipoteza basi wanaachana naye.

Mechi hizo mbili ilikuwa ni ile ya wale wa nigeria ambayo ilikuwa ni marudiano wakiwa ugenini ambapo walipasuka bao 2

Ikabaki moja ambayo ilikuwa ni derby

Sasa simba walijawa na huruma wakaona sio vyema jamaa apoteze kibarua wakaamua kumstiri kwa kumpa fursa afunge bao moja ili aendelee kusalia jangwani.

Tangu hapo jamaa amekuwa na mapenzi makubwa mno na club ya simba, na kuna siri moja nawatobolea leo muijue.

Huyu sio mechi tu, hata kwenye mazoezi ya simba huwa anaendaga

Afu sasa anavyomkubali bocco yani usipime, ile juzi alishindwa kudhibiti hisia zake, bocco alivyofunga ikabidi aruke na kuanza kushangilia.
Naziona dalili za kuchanganyikiwa kabisa kutoka kwako mkuu
 
Simba wakikosekana mabeki wa kusaidia kupandisha mashambulizi kapombe na muhamed hussein timu inapata taabu sana kupanga mashambulizi

Sako anakua anaruka ruka tu uwanja mzima Kibu anapoteza sana mipira pembeni Boko anakosa wa kumlisha mipira

Pablo ana mfumo mbovu sana kwa maoni yangu
Ni kweli mkuu nimeliona ilo sasa uyu kocha asipofanya jambo kwenye hii break nina amini Simba atakufa
 
Huyu jamaa mechi za Simba kaingia zote

Takwimu zinaonesha kocha Nabi kaingia kuangalia mechi nyingi za simba kuzidi wale mashabiki kindaki ndaki wa tawi la chalinze

Unajua kwasababu gani amekuwa interested sana na mechi za Simba

Ngoja nikupe sababu

Unakumbuka msimu unavyoanza alikuwa na mwanzo mgumu kila time timu yake ilikuwa inapoteza kila mechi

Nabi aliwekewa vikao nyomi kama ana solve msala wa kufilisi benki, nakumhuka moja ya utetezi wake alikuwa akisema hawa wachezaji mliosajili hawakuwa kwenye chaguo langu hivyo itanihitaji siku nyingi mpaka kuwaweka kwenye muunganiko

Club ikakosa subra mpaka kufikia hatua uongozi ukampa mechi mbili za mwisho ambazo kati ya hizo akipoteza basi wanaachana naye.

Mechi hizo mbili ilikuwa ni ile ya wale wa nigeria ambayo ilikuwa ni marudiano wakiwa ugenini ambapo walipasuka bao 2

Ikabaki moja ambayo ilikuwa ni derby

Sasa simba walijawa na huruma wakaona sio vyema jamaa apoteze kibarua wakaamua kumstiri kwa kumpa fursa afunge bao moja ili aendelee kusalia jangwani.

Tangu hapo jamaa amekuwa na mapenzi makubwa mno na club ya simba, na kuna siri moja nawatobolea leo muijue.

Huyu sio mechi tu, hata kwenye mazoezi ya simba huwa anaendaga

Afu sasa anavyomkubali bocco yani usipime, ile juzi alishindwa kudhibiti hisia zake, bocco alivyofunga ikabidi aruke na kuanza kushangilia.

Yaani mtu mzima kama wewe unavua nguo adharani!! Embu tuambie msimu wa 2021/2022 Yanga walianza na kipi kati ya mechi za klabu bingwa au ligi kuu?
 
Critism ya kiuto hata haiko proper

Hivi kwa michambo yenu na maneno makali ya kutuita majina ya kukera hili lingekuwa na ukweli leo hii si tungemuona white akituita jina hilo?

Afu kwanini kuna stori za kutuhusu sisi tunazipata kutoka kwenu tu?

Hii club yenu mmeibest sana kwenye historia na ndio maana nawafananishaga na member anayejiita mohammed said

Mnaipenda sana jana kwasababu ndiko faraja yenu iliko
Kumbe hapa tunawatu hata hamuijui historia ya timu yenu.......katafute hata Kitabu Cha historia ya Simba au mpigie Simu Mwina Kaduguda atakwambia.......Simba-Sunderland-Queens fc
 
Tumuombee Shomary Kapombe jamani tarehe 28 awepo ili kuepusha visingizio
 
Yaani mtu mzima kama wewe unavua nguo adharani!! Embu tuambie msimu wa 2021/2022 Yanga walianza na kipi kati ya mechi za klabu bingwa au ligi kuu?
Nimekupa na references hapo kwa kukutajia mechi ambazo alipewa nabi kama last chance

Sasa we unavyozipima ziko katika category gani?

Jibu baki nalo
 
Kumbe hapa tunawatu hata hamuijui historia ya timu yenu.......katafute hata Kitabu Cha historia ya Simba au mpigie Simu Mwina Kaduguda atakwambia.......Simba-Sunderland-Queens fc
Kwanini historia kubwa yenye kubeba title ya jina la club ifichwe kwenye kitabu isiwekwe hadharani ambapo kwenye documentary za club zipo?
 
Back
Top Bottom