SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Sasa ndugu yangu huku kwenye ligi wanagombea nini?Simba wasituletee ujinga ,kimataifa wametolewa halafu ligi wanacheza utumbo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndugu yangu huku kwenye ligi wanagombea nini?Simba wasituletee ujinga ,kimataifa wametolewa halafu ligi wanacheza utumbo.
Mkuu agiza kinywaji chochote hapo nitalipaMkuu wanangu hawatakula Simba na Yanga 🤣
Kikosi cha Simba cha leo sijui kimeokotwa wapi simba hii eti ndio ichukue ubingwa waache yanga wabebe ndoo yao pale kati mipira aikai kabisa sijui wachezaji wa simba wamekula mlenda leo ni shida tu
Critism ya kiuto hata haiko properAcha ubishi we mtoto wa 2000View attachment 2234437
We timu gani?Nahitaji goli 1 tu niingize 84000
Kumbe miongoni mwenu bado kuna kundi la watu lina hofu huwenda kombe likachukuliwa na msimbazi?Sisi tunataka George afunge hata hat trick hatujali. Tunachotaka game iishe sare au mfungwe ili tutangaze ubingwa mapema tusichoshane.
Naziona dalili za kuchanganyikiwa kabisa kutoka kwako mkuuHuyu jamaa mechi za Simba kaingia zote
Takwimu zinaonesha kocha Nabi kaingia kuangalia mechi nyingi za simba kuzidi wale mashabiki kindaki ndaki wa tawi la chalinze
Unajua kwasababu gani amekuwa interested sana na mechi za Simba
Ngoja nikupe sababu
Unakumbuka msimu unavyoanza alikuwa na mwanzo mgumu kila time timu yake ilikuwa inapoteza kila mechi
Nabi aliwekewa vikao nyomi kama ana solve msala wa kufilisi benki, nakumhuka moja ya utetezi wake alikuwa akisema hawa wachezaji mliosajili hawakuwa kwenye chaguo langu hivyo itanihitaji siku nyingi mpaka kuwaweka kwenye muunganiko
Club ikakosa subra mpaka kufikia hatua uongozi ukampa mechi mbili za mwisho ambazo kati ya hizo akipoteza basi wanaachana naye.
Mechi hizo mbili ilikuwa ni ile ya wale wa nigeria ambayo ilikuwa ni marudiano wakiwa ugenini ambapo walipasuka bao 2
Ikabaki moja ambayo ilikuwa ni derby
Sasa simba walijawa na huruma wakaona sio vyema jamaa apoteze kibarua wakaamua kumstiri kwa kumpa fursa afunge bao moja ili aendelee kusalia jangwani.
Tangu hapo jamaa amekuwa na mapenzi makubwa mno na club ya simba, na kuna siri moja nawatobolea leo muijue.
Huyu sio mechi tu, hata kwenye mazoezi ya simba huwa anaendaga
Afu sasa anavyomkubali bocco yani usipime, ile juzi alishindwa kudhibiti hisia zake, bocco alivyofunga ikabidi aruke na kuanza kushangilia.
Ni kweli mkuu nimeliona ilo sasa uyu kocha asipofanya jambo kwenye hii break nina amini Simba atakufaSimba wakikosekana mabeki wa kusaidia kupandisha mashambulizi kapombe na muhamed hussein timu inapata taabu sana kupanga mashambulizi
Sako anakua anaruka ruka tu uwanja mzima Kibu anapoteza sana mipira pembeni Boko anakosa wa kumlisha mipira
Pablo ana mfumo mbovu sana kwa maoni yangu
Sasa hilo ni tatizo lako binafsi la machoSiuoni kabisa ule mpira wa Simba hata wakati ambao timu ilicheza chini ya kiwango
Huyu jamaa mechi za Simba kaingia zote
Takwimu zinaonesha kocha Nabi kaingia kuangalia mechi nyingi za simba kuzidi wale mashabiki kindaki ndaki wa tawi la chalinze
Unajua kwasababu gani amekuwa interested sana na mechi za Simba
Ngoja nikupe sababu
Unakumbuka msimu unavyoanza alikuwa na mwanzo mgumu kila time timu yake ilikuwa inapoteza kila mechi
Nabi aliwekewa vikao nyomi kama ana solve msala wa kufilisi benki, nakumhuka moja ya utetezi wake alikuwa akisema hawa wachezaji mliosajili hawakuwa kwenye chaguo langu hivyo itanihitaji siku nyingi mpaka kuwaweka kwenye muunganiko
Club ikakosa subra mpaka kufikia hatua uongozi ukampa mechi mbili za mwisho ambazo kati ya hizo akipoteza basi wanaachana naye.
Mechi hizo mbili ilikuwa ni ile ya wale wa nigeria ambayo ilikuwa ni marudiano wakiwa ugenini ambapo walipasuka bao 2
Ikabaki moja ambayo ilikuwa ni derby
Sasa simba walijawa na huruma wakaona sio vyema jamaa apoteze kibarua wakaamua kumstiri kwa kumpa fursa afunge bao moja ili aendelee kusalia jangwani.
Tangu hapo jamaa amekuwa na mapenzi makubwa mno na club ya simba, na kuna siri moja nawatobolea leo muijue.
Huyu sio mechi tu, hata kwenye mazoezi ya simba huwa anaendaga
Afu sasa anavyomkubali bocco yani usipime, ile juzi alishindwa kudhibiti hisia zake, bocco alivyofunga ikabidi aruke na kuanza kushangilia.
Kumbe hapa tunawatu hata hamuijui historia ya timu yenu.......katafute hata Kitabu Cha historia ya Simba au mpigie Simu Mwina Kaduguda atakwambia.......Simba-Sunderland-Queens fcCritism ya kiuto hata haiko proper
Hivi kwa michambo yenu na maneno makali ya kutuita majina ya kukera hili lingekuwa na ukweli leo hii si tungemuona white akituita jina hilo?
Afu kwanini kuna stori za kutuhusu sisi tunazipata kutoka kwenu tu?
Hii club yenu mmeibest sana kwenye historia na ndio maana nawafananishaga na member anayejiita mohammed said
Mnaipenda sana jana kwasababu ndiko faraja yenu iliko
Dalili za ubingwa umeshindwa kuziona ndio uje uone dalili za kuchanganyikiwaNaziona dalili za kuchanganyikiwa kabisa kutoka kwako mkuu
Nimekupa na references hapo kwa kukutajia mechi ambazo alipewa nabi kama last chanceYaani mtu mzima kama wewe unavua nguo adharani!! Embu tuambie msimu wa 2021/2022 Yanga walianza na kipi kati ya mechi za klabu bingwa au ligi kuu?
Siuoni kabisa ule mpira wa Simba hata wakati ambao timu ilicheza chini ya kiwango
Kwanini historia kubwa yenye kubeba title ya jina la club ifichwe kwenye kitabu isiwekwe hadharani ambapo kwenye documentary za club zipo?Kumbe hapa tunawatu hata hamuijui historia ya timu yenu.......katafute hata Kitabu Cha historia ya Simba au mpigie Simu Mwina Kaduguda atakwambia.......Simba-Sunderland-Queens fc
Mlisajili wachezaji ambao hata Tandale wapo Kanoute,Sakho na hao wengineSimba imekuwa ya kipumbavu