FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

Sisi mashabiki wa Msimbazi leo tunaombea mpole apate goli ili kiatu cha ufungaji bora kisiende kwa yule wa kutetema. Hata tukifungwa goli moja kwa bila fresh tu ili mradi Mpole atikise nyavu. Scars
 
Sisi mashabiki wa Msimbazi leo tunaombea mpole apate goli ili kiatu cha ufungaji bora kisiende kwa yule wa kutetema. Hata tukifungwa goli moja kwa bila fresh tu ili mradi Mpole atikise nyavu. Scars
Sisi wanajangwani leo tunaombea Geita Gold washinde mechi ya leo ili tutatange ufalme wetu mapema kabisa kabla ya tarehe 28
 
Kikosi cha Geita Gold FC dhidi ya Simba SC
Screenshot_20220522-153241~2.jpg
 
Sisi mashabiki wa Msimbazi leo tunaombea mpole apate goli ili kiatu cha ufungaji bora kisiende kwa yule wa kutetema. Hata tukifungwa goli moja kwa bila fresh tu ili mradi Mpole atikise nyavu. Scars
Hivi msimu wa mwaka jana mfungaji bora alikuwa nani na alikuwa ana magoli mangapi?
 
Vuguvugu na patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Mei 22, 2022 ambapo Wajimbaji wa dhahabu Geita Gold FC wanakiwasha dhidi ya Mnyama Mkali Mwituni Simba SC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Ni mchezo wa ushindani mkubwa kwa timu zote mbili, ambapo Geita Gold FC wanapingania kumaliza kwenye nafasi nne za juu kwenye ligi, huku Simba SC wakitaka kupunguza gepu la alama dhidi ya Yanga SC ambao wapo kileleni, hivyo hakuna timu inatamani kudondosha alama tatu.

Kocha msaidizi wa Geita Gold FC Mathias Wandimba amesema kuwa, wachezaji wake wapo vizuri kwa ajili ya kukikabili Kikosi cha Simba SC katika mchezo huo na kuongeza kuwa, vijana hao wa Msimbazi hawampi wasiwasi kwa kuwa Kikosi chake kuna vijana walio bora, wenye vipaji.

Naye Kocha wa Simba SC Pablo Franco amesema kuwa wataingia katika mchezo huo kwa tahadhari kubwa, kwa kuwa wanaenda kukutana na timu nzuri huku akiongeza kuwa, anafikiri ni timu bora zaidi msimu huu ameiona ikicheza vizuri kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza Simba SC waliibuka na ushindi wa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa..Je leo nani kuibuka na ushindi?

Kumbuka mchezo ni kuanzia saa 10:00 Jioni.. Usikose Ukaulizia

Kulitaka Mwana..Kulipewa Mwana
Vipi ndugu mikia,yule Mpole mlikuwa mnamuombea kila siku ampite Mayele,vp mnaendelea kumuombea hata Leo?
 
Ukisoma comment za uto utagundua pamoja na kuongoza ligi hawana furaha.
 
Jamani mwenye connection ya huyu mlkimbwende aliyekuwa ameshika tuzo hapo yule mrembo anipe....ndio type znagu hizo. Watu wa mwanza nipeni connection ya mrembo huyo
 
Naaam mpira umeanza Uwanja wa CCM Kirumba

00' Geita Gold FC 0-0 Simba SC
 
Jamani mwenye connection ya huyu mlkimbwende aliyekuwa ameshika tuzo hapo yule mrembo anipe....ndio type znagu hizo. Watu wa mwanza nipeni connection ya mrembo huyo
Una shingp?upate namba
 
Bocco magoli 16. Unataka kusemaje mkuu?
Nafananisha hapa kama miaka inavyozidi kusogea namba za magoli zinaongezeka au kupungua

Kulikua na season ambayo kagere alimaliza akiwa na goli 20+

Saizi sioni dalili za kufikia digits hizo
 
Back
Top Bottom