FT: Ligi Kuu Bara | Geita Gold FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba | Leo Mei 22, 2022

Hapo Mwanza hakuna fire 🔥 extinguisher jamani Mikia waokolewe
 
Je unadhani kupungua kwa digits kuna ashiria nini mabeki wamekuwa imara zaidi? Ama kitu gani
Nadhani kujibu swali lako ebu turudi nyuma katika hizo season tuangalie viwango vya hao wachezaji katika nyakati hizo afu tufanye comparison na sasa

Kama hata saizi wanacheza katika kiwango kile kile cha kipindi cha nyuma basi hapo tutasema kuna improvements kwenye ulinzi
 
Simba wasituletee ujinga ,kimataifa wametolewa halafu ligi wanacheza utumbo.
 
28' Kibu Goooooooooooooaaal gooal

Kibu Denis anasawazishia Simba SC bao kwa kichwa | Geita Gold FC 1-1 Simba SC
 
George mpole apewe hata la penati
 
Hii mechi nataka iishe simba 4 Geita 3

Hayo matatu ya kagera iwe ni hatrick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…