Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
ππHata hapa Kaitaba wale wa Misenyi,Mtukula wanaondokaW ALL EE WA MBAGALAAA NAONAA MMEANZA KUONDOKA MAPEMAA OFFLINE TUSIKATE TAMAAA JAMANI NSHAPIGA DUA SURAT DRW
Sio kweli, Simba hii siielewi kabisa. Full homa za vipindi.Huwa wanabadilika kulingana na ukubwa wa mechi...
Mbona mm wa misenyi nipoππHata hapa Kaitaba wale wa Misenyi,Mtukula wanaondoka
Acha kumfananisha Drogba na wazee πhuyu phiri anahangaika ili kumfikia mayele wakati uwezo wake ni clement mzize
Butu butu tuSio kweli, Simba hii siielewi kabisa. Maana ni homa za vipindi.
πππTumedrw sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa naomba mtuelewe stop
msemaji wa .....
msemaji alikuwa na kreti la maandazi kwenye kostaTumedrw sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa naomba mtuelewe stop
msemaji wa .....
πππPira papatu papatu ππ
Hali ni tete ππππ