Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kwani nani kachomeka hadi mchomoe mbona unatoa ya utata 🙁Tunachomoa mkuu mbili kwa moja FT..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nani kachomeka hadi mchomoe mbona unatoa ya utata 🙁Tunachomoa mkuu mbili kwa moja FT..
Ngoja tuone 😀Tunachomoa mkuu mbili kwa moja FT..
Hakuna anayemkamia,apambane tuPhiri amechezewa rafu nyingi sana
Kila mtu amechomeka bao au lugha ngumu?Kwani nani kachomeka hadi mchomoe mbona unatoa ya utata 🙁
Endeleeni kusubiri na mtaonaNgoja tuone 😀
Dk 67Dakk ya ngap
Game bado mbichiDk 67
Siyo ndoto zote hutimiaEndeleeni kusubiri na mtaona
refa amalize mpira, maana hakuna la maajabuDk 67
Nikweli kuna watu safari ya Coaster kurudi dar inaweza kuwa ndefu sanaGame bado mbichi
Tunapotezeana muda turefa amalize mpira, maana hakuna la maajabu
Huu ndo uchawi wenyewe sasa watu wacheze wengine halafu muda upotezewe ww ChukwuTunapotezeana muda tu
😀😀Tumwalike sikazwe nini game iwahi kuisha 😀Huu ndo uchawi wenyewe sasa watu wacheze wengine halafu muda upotezewe ww Chukwu
Ndo nani huyo?😀😀Tumwalike sikazwe nini game iwahi kuisha 😀
Kuna refa alimaliza mechi dk ya 85Ndo nani huyo?
Hahaha unataka nini kwetu ewe mpopoKuna refa alimaliza mechi dk ya 85
Namna anavyocheza. Namna wanavyocheza leo wakikutana na Raja Casablanca jua kilio ni kikubwa. Makosa ya kizembe mengi.Phiri amechezewa rafu nyingi sana