Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Njaa labdaUtopolo wanahesabu dakika... hii mechi tunashinda
Vaeni ya Bluu πsimba watafute na wao Jezi moja waizindike kwakweli
Mla mla leo mtani, mla jana kala nini?Mnavyoshangilia kama hamjafungwaga na IHEFu vile hahahah
Ajabu kubwa. Nitashangaa huyu boya asipoachwa.timu inamtegemea kibu hahahah
Guvu moya πPumbavu kabisa. Azam walidroo lakini unaona namna walivyocheza. Hawa wapuuzi wanapiga picha za coasta tu.π©
Basi sawa πUtopolo wanahesabu dakika... hii mechi tunashinda
πππH
Kwani kushinda njaa siyo kushinda? Mihogo wahed
Bado unaweza ukawa umechubuka koo ukawa unakumbukia mtani..Mla mla leo mtani, mla jana kala nini?