Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa labdaUtopolo wanahesabu dakika... hii mechi tunashinda
Vaeni ya Bluu 😀simba watafute na wao Jezi moja waizindike kwakweli
Mla mla leo mtani, mla jana kala nini?Mnavyoshangilia kama hamjafungwaga na IHEFu vile hahahah
Ajabu kubwa. Nitashangaa huyu boya asipoachwa.timu inamtegemea kibu hahahah
Guvu moya 😀Pumbavu kabisa. Azam walidroo lakini unaona namna walivyocheza. Hawa wapuuzi wanapiga picha za coasta tu.😩
Basi sawa 😃Utopolo wanahesabu dakika... hii mechi tunashinda
😀😀😀H
Kwani kushinda njaa siyo kushinda? Mihogo wahed
Bado unaweza ukawa umechubuka koo ukawa unakumbukia mtani..Mla mla leo mtani, mla jana kala nini?