Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Aliyeanza ndiyo mshindi, watake wasitake ππππMbona hawajashinda, embu acha fujo.
Hamna lolote kwa wakulima wa miwaAliyeanza ndiyo mshindi, watake wasitake ππππ
Kuwaonyesha wao kina nani, wakawapiga kimoja cha haraka haraka... hikohiko wakalowa eti πππHamna lolote kwa wakulima wa miwa
Halafu wewe, we haya tu ipo siku utahamia kwa wana LunyasiKuwaonuesha wao kina nani, wakawapiga kimoja cha haraka haraka... hikohiko wakalowa eti πππ
Haitakaa itokee, hiyo timu siipendi kabisa. Hainivutii chochote. Njoo Yanga sasa naipenda niko ndembendembe kwa Yanga...Halafu wewe, we haya tu ipo siku utahamia kwa wana Lunyasi
Hata mie nilikuwa yanga ila nilihama baada ya kubaini ujinga mwingi huko.Team Kagera kwakuwa tuko
Haitakaa itokee, hiyo timu siipendi kabisa. Hainivutii chochote. Njoo Yanga sasa naipenda niko ndembendembe kwa Yanga...
Huo mwandiko sasa, mbona mtihani!WAMELALIA GODORO LINA MIPIRA WANAITA ASBH WAHUDUMU HII NN WAKAHISI WMELOGWA NUKSI IKAANZIA HAPO KUMBE YALE MAPLASTIK MEUSI YANA KAZI YAKE MM. NISIENDELEEEE KULINDA GDORO LISIILOWE
Aisee una machaguzi ya hovyo kumbe. Angalia ukawa France nini kikatokea? Kweli uhame Yanga mbele, uende mkiani ππ»ππ»ππ»πππππHata mie nilikuwa yanga ila nilihama baada ya kubaini ujinga mwingi huko.
Njoo SIMBA timu ya kimataifa
Mbeleko fc mpo hapo kwa mbelekoAisee una machaguzi ya hovyo kumbe. Angalia ukawa France nini kikatokea? Kweli uhame Yanga mbele, uende mkiani ππ»ππ»ππ»πππππ
Team malalamiko mnasalimiwa na wakata miwa wa Kaitaba...Mbeleko fc mpo hapo kwa mbeleko
Hamnaga nguvu moja mkiwa mnafungwa.. Hamna watanzania wa hivo pale kariakooSimba nguvu moja bado naimani na Simba na uongozi na wachezaji...
Hata tukishuka bridge bado tupo na nyie endeleeni kuwajambisha uto mnafanya kama mmefika kileleni halafu mnadrop yani mnawapandisha presha halafu mnawashushaa π π π π
Manara alituita Yanga hatuna akili Ila wenye akili ni wawili tu ππAisee una machaguzi ya hovyo kumbe. Angalia ukawa France nini kikatokea? Kweli uhame Yanga mbele, uende mkiani ππ»ππ»ππ»πππππ
Nitakuwa wa mwisho kuondoka Yanga...Manara alituita Yanga hatuna akili Ila wenye akili ni wawili tu ππ
Hiyo ndiyo sababu ya kuhama team hiyo maana mie nina akili zangu mama.
Ondoka huko na wewe
Pdiddy ana Masters ya Udsm, MPE hishma yake.Huo mwandiko sasa, mbona mtihani!
UsiniudhiNitakuwa wa mwisho kuondoka Yanga...