FT: Ligi Kuu Bara: Kagera Sugar 1 -1 Simba SC | Kaitaba Stadium 21/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara: Kagera Sugar 1 -1 Simba SC | Kaitaba Stadium 21/12/2022

Simba nguvu moja bado naimani na Simba na uongozi na wachezaji...
Hata tukishuka bridge bado tupo na nyie endeleeni kuwajambisha uto mnafanya kama mmefika kileleni halafu mnadrop yani mnawapandisha presha halafu mnawashushaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hata mie nilikuwa yanga ila nilihama baada ya kubaini ujinga mwingi huko.

Njoo SIMBA timu ya kimataifa
Aisee una machaguzi ya hovyo kumbe. Angalia ukawa France nini kikatokea? Kweli uhame Yanga mbele, uende mkiani πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Simba nguvu moja bado naimani na Simba na uongozi na wachezaji...
Hata tukishuka bridge bado tupo na nyie endeleeni kuwajambisha uto mnafanya kama mmefika kileleni halafu mnadrop yani mnawapandisha presha halafu mnawashushaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Hamnaga nguvu moja mkiwa mnafungwa.. Hamna watanzania wa hivo pale kariakoo
 
Aisee una machaguzi ya hovyo kumbe. Angalia ukawa France nini kikatokea? Kweli uhame Yanga mbele, uende mkiani πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Manara alituita Yanga hatuna akili Ila wenye akili ni wawili tu πŸ˜‚πŸ˜‚

Hiyo ndiyo sababu ya kuhama team hiyo maana mie nina akili zangu mama.

Ondoka huko na wewe
 
Ahsanteni wahaya mmetuheshimisha....Dada Pili alikua kila akipiga shuti anakutana na maji πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
MAPOYOYO WA MSIMBAZI WAKIJIPONGEZA NA DRW
 
Attachments

  • FB_IMG_16716468965844294.jpg
    FB_IMG_16716468965844294.jpg
    15.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom