FT: Ligi Kuu Bara: Kagera Sugar 1 -1 Simba SC | Kaitaba Stadium 21/12/2022

Ya kagereee
bado polisi wanachunguza n cheni ama hirizi taarifa kamili mwakani

kwa hili la mbeya tulimalizana vyumbani kabisa mzigo (hirizi)ukatolewa akapewa kadi yake mechi ikaendelea.....
 
Mpira umeisha nkasikia kelelee kama viile umeme umerudi kuuliza
Wamedrw tena hahahahahahaaaa
 
Pole jikaze utazoea bado miaka 10 ya maumivu
 
Simba Itakapo Kuja Kustuka Kuwa Haina Benchi La Ufundi itakuwa Imesha Chelewa Sanaaaa…. Ngoja waendelee Kuleta Mzahaaa kuchezea Mechi Ambazo walipaswa kushinda. Ni Kama Hawajifunzi toka Msimu Uliopita.

Mgunda Sio Kocha wa Kuifundisha Simba hata Acheze Michezo 50 na Kushinda Sio kocha wa Hadhi ya Simba….Angalia sahizi Anamchezesha Phiri Namba Tofauti Mchezo wa 3 huu Haja Score mwisho wa Siku Mchezaji anakuaa na Pressure na Kushindwa Kufanya Vizuri.

Mechi ya Leo kwenye Kiwanja Kizuri hatukuwa na Sababu Kudraw…. Hata Mechi Tunazo Shinda Simba Ukiangalia huwa inakuwa sio Uwezo wa Kocha.

Ngoja Tuone hilo Gap La Point 6 huku Makundi CAF yakikaribia wachezaji watachoka zaidi na Kupoteza Mechi zaidi.

POOR SIMBA YANGU…!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…