Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Kumbe na wewe umo mamitoooUbingwa uleeee...anaebisha abishane mwenyewe
Kila la heri SSC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe na wewe umo mamitoooUbingwa uleeee...anaebisha abishane mwenyewe
Kila la heri SSC
Msameheeeee ....Pdiddy ana Masters ya Udsm, MPE hishma yake.
Sawa, kidogo unasomeka sio kama miaka ileePdiddy ana Masters ya Udsm, MPE hishma yake.
NipooKumbe na wewe umo mamitooo
Sio hela tu, tumewapa hela na nazi 😃Yanga tumewapa hela Kagera wawakazie mikia fc
Dog styleMAPOYOYO WA MSIMBAZI WAKIJIPONGEZA NA DRW
Wahaya tunaita nipe nikupee....Dog style
Wengine wamesimama wakiwangoja?Ligi bado mbichi hii kama matoke
Team lawama, team manung'uniko. Kila uchwao wao ni kumtafuta wa kumtafutia lawama walalamike.Team malalamiko mnasalimiwa na wakata miwa wa Kaitaba...
NjaaUtopolo wanahesabu dakika... hii mechi tunashinda
Watoto wa kambo wa taifaTeam lawama, team manung'uniko. Kila uchwao wao ni kumtafuta wa kumtafutia lawama walalamike.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapa ubingwa ni ndoto na miujiza
Watu tumempigania mpaka akapata uraia kwa kisingizio Cha Taifa Stars halafu leo tumuache kirahisi rahisi hivyo?Ajabu kubwa. Nitashangaa huyu boya asipoachwa.
Pole jikaze utazoea bado miaka 10 ya maumivuSimba nguvu moja bado naimani na Simba na uongozi na wachezaji...
Hata tukishuka bridge bado tupo na nyie endeleeni kuwajambisha uto mnafanya kama mmefika kileleni halafu mnadrop yani mnawapandisha presha halafu mnawashushaa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]