Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Chezaji lako lenye kasi ya kono kono game zisizo na tigo pesa uwa aonekani πHapa ubingwa ni ndoto na miujiza
Kosa la Simba ni kukubali viongozi waliomaliza muda wao waendelee kukaa madarakani mpaka muda wa usajili wa dirisha dogo upite.Simba Itakapo Kuja Kustuka Kuwa Haina Benchi La Ufundi itakuwa Imesha Chelewa Sanaaaaβ¦. Ngoja waendelee Kuleta Mzahaaa kuchezea Mechi Ambazo walipaswa kushinda. Ni Kama Hawajifunzi toka Msimu Uliopita.
Mgunda Sio Kocha wa Kuifundisha Simba hata Acheze Michezo 50 na Kushinda Sio kocha wa Hadhi ya Simbaβ¦.Angalia sahizi Anamchezesha Phiri Namba Tofauti Mchezo wa 3 huu Haja Score mwisho wa Siku Mchezaji anakuaa na Pressure na Kushindwa Kufanya Vizuri.
Mechi ya Leo kwenye Kiwanja Kizuri hatukuwa na Sababu Kudrawβ¦. Hata Mechi Tunazo Shinda Simba Ukiangalia huwa inakuwa sio Uwezo wa Kocha.
Ngoja Tuone hilo Gap La Point 6 huku Makundi CAF yakikaribia wachezaji watachoka zaidi na Kupoteza Mechi zaidi.
POOR SIMBA YANGUβ¦!!!
Merry ChristmasUbingwa uleeee...anaebisha abishane mwenyewe
Kila la heri SSC
Nakubaliana na wewe,nilishangaa sana Okra kuanzia bench halafu Boko anacheza dakika 90 tena kwenye mechi ambayo timu haitengenezi nafasi nyingi za wazi za kufunga.Simba Itakapo Kuja Kustuka Kuwa Haina Benchi La Ufundi itakuwa Imesha Chelewa Sanaaaaβ¦. Ngoja waendelee Kuleta Mzahaaa kuchezea Mechi Ambazo walipaswa kushinda. Ni Kama Hawajifunzi toka Msimu Uliopita.
Mgunda Sio Kocha wa Kuifundisha Simba hata Acheze Michezo 50 na Kushinda Sio kocha wa Hadhi ya Simbaβ¦.Angalia sahizi Anamchezesha Phiri Namba Tofauti Mchezo wa 3 huu Haja Score mwisho wa Siku Mchezaji anakuaa na Pressure na Kushindwa Kufanya Vizuri.
Mechi ya Leo kwenye Kiwanja Kizuri hatukuwa na Sababu Kudrawβ¦. Hata Mechi Tunazo Shinda Simba Ukiangalia huwa inakuwa sio Uwezo wa Kocha.
Ngoja Tuone hilo Gap La Point 6 huku Makundi CAF yakikaribia wachezaji watachoka zaidi na Kupoteza Mechi zaidi.
POOR SIMBA YANGUβ¦!!!
Nakazia bestie. π€£π€£π€£π€£droo tamu
Hahahaaa. Lol.Hapa ubingwa ni ndoto na miujiza
Kama kaokota hata mmoja Niko paleeeAkifunga ye anajua, akisipofunga anakamiwa
Leo napenda sana nimuone General anaingia wavuni kuokota mpira
Na Badoo mpaka akomePhiri amechezewa rafu nyingi sana
simba watafute na wao Jezi moja waizindike kwakweli
Asubuhi asubuhi badala kunywa chai unaanza kupost mipira. Vepe mdogo wanguHahahaaa. Lol.
Ingekuwa jezi zikizindikikwa zinaleta matokeo basi kila jezi zingekuwa zinazindikwa. Hata Yanga wangezindika jezi zao zote za home, away na third kit ili kupata matokeo. Kuna tofauti kati ya kuzindika jezi na kuwa na jezi ya bahati.simba watafute na wao Jezi moja waizindike kwakweli
Mbona mkishinda haya malalamiko hakunaga? Kocha anakuwa mbaya mkikosa point, mkipata Mgunda binge la kocha. Duniani kote Hakuna mpira wa hivyo eti timu ishinde tuu. Hata sisi Yanga sc tulipoteza kwa Ihefu FC Tena timu inayoburuza mkia, lakini tulikubali maana na wao walistahili hayo matokeo maana siku hiyo walideserve kushinda, vivyo hivyo nanyi Jana shukuruni mlichopata maana Kagera sugar pale kwao kaitaba mmekuwa mkipoteza hivyo shukuruni na hiyo point moja.Kosa la Simba ni kukubali viongozi waliomaliza muda wao waendelee kukaa madarakani mpaka muda wa usajili wa dirisha dogo upite.
Hawa viongozi hawajui hatima Yao watataka kuwatengenezea lawama viongozi wanaokuja kwani swala la kocha lilishaongelewa muda mrefu lakini wanaridhika na Mgunda hali wanajua uwezo wake ni WA kawaida pia kocha wa makipa na viungo waliwaleta baada ya mashabiki kupiga kelele.
Hahahaaa. Nani kakwambia nilipo huu ni muda wa kunywa chai. Teh teh teh. π€ͺAsubuhi asubuhi badala kunywa chai unaanza kupost mipira. Vepe mdogo wangu
Wewe shugurika na yanga yako ya Simba tuachie wanasimbaMbona mkishinda haya malalamiko hakunaga? Kocha anakuwa mbaya mkikosa point, mkipata Mgunda binge la kocha. Duniani kote Hakuna mpira wa hivyo eti timu ishinde tuu. Hata sisi Yanga sc tulipoteza kwa Ihefu FC Tena timu inayoburuza mkia, lakini tulikubali maana na wao walistahili hayo matokeo maana siku hiyo walideserve kushinda, vivyo hivyo nanyi Jana shukuruni mlichopata maana Kagera sugar pale kwao kaitaba mmekuwa mkipoteza hivyo shukuruni na hiyo point moja.
Refa wa jana ndio aliwapa penati yanga walipocheza na Namungo feisal alipojiangusha akafungiwa lakini Bado anarudia maduduPhiri amechezewa rafu nyingi sana
Wazee wa malalamiko.Refa wa jana ndio aliwapa penati yanga walipocheza na Namungo feisal alipojiangusha akafungiwa lakini Bado anarudia madudu
Na ndiye huyo huyo jana katoa faulo nyepesi mno ililozaa goli la kusawazishaRefa wa jana ndio aliwapa penati yanga walipocheza na Namungo feisal alipojiangusha akafungiwa lakini Bado anarudia madudu
Mtu anasukumwa mbele yake anapetaNa ndiye huyo huyo jana katoa faulo nyepesi mno ililozaa goli la kusawazisha
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mjifunze kuwa na shukrani, goli lenyewe la kusawazisha ni jitahidi zake refaMtu anasukumwa mbele yake anapeta
Sio kwetu simba, sisi tunachojua ni ushindi hayo mengine hatuyajuiMbona mkishinda haya malalamiko hakunaga? Kocha anakuwa mbaya mkikosa point, mkipata Mgunda binge la kocha. Duniani kote Hakuna mpira wa hivyo eti timu ishinde tuu. Hata sisi Yanga sc tulipoteza kwa Ihefu FC Tena timu inayoburuza mkia, lakini tulikubali maana na wao walistahili hayo matokeo maana siku hiyo walideserve kushinda, vivyo hivyo nanyi Jana shukuruni mlichopata maana Kagera sugar pale kwao kaitaba mmekuwa mkipoteza hivyo shukuruni na hiyo point moja.