FT: Ligi Kuu Bara: Kagera Sugar 1 -1 Simba SC | Kaitaba Stadium 21/12/2022

Simba Itakapo Kuja Kustuka Kuwa Haina Benchi La Ufundi itakuwa Imesha Chelewa Sanaaaa…. Ngoja waendelee Kuleta Mzahaaa kuchezea Mechi Ambazo walipaswa kushinda. Ni Kama Hawajifunzi toka Msimu Uliopita.

Mgunda Sio Kocha wa Kuifundisha Simba hata Acheze Michezo 50 na Kushinda Sio kocha wa Hadhi ya Simba….Angalia sahizi Anamchezesha Phiri Namba Tofauti Mchezo wa 3 huu Haja Score mwisho wa Siku Mchezaji anakuaa na Pressure na Kushindwa Kufanya Vizuri.

Mechi ya Leo kwenye Kiwanja Kizuri hatukuwa na Sababu Kudraw…. Hata Mechi Tunazo Shinda Simba Ukiangalia huwa inakuwa sio Uwezo wa Kocha.

Ngoja Tuone hilo Gap La Point 6 huku Makundi CAF yakikaribia wachezaji watachoka zaidi na Kupoteza Mechi zaidi.

POOR SIMBA YANGU…!!!
Kosa la Simba ni kukubali viongozi waliomaliza muda wao waendelee kukaa madarakani mpaka muda wa usajili wa dirisha dogo upite.
Hawa viongozi hawajui hatima Yao watataka kuwatengenezea lawama viongozi wanaokuja kwani swala la kocha lilishaongelewa muda mrefu lakini wanaridhika na Mgunda hali wanajua uwezo wake ni WA kawaida pia kocha wa makipa na viungo waliwaleta baada ya mashabiki kupiga kelele.
 
Ubingwa uleeee...anaebisha abishane mwenyewe
Kila la heri SSC
Merry Christmas
giphy.gif
 
Simba Itakapo Kuja Kustuka Kuwa Haina Benchi La Ufundi itakuwa Imesha Chelewa Sanaaaa…. Ngoja waendelee Kuleta Mzahaaa kuchezea Mechi Ambazo walipaswa kushinda. Ni Kama Hawajifunzi toka Msimu Uliopita.

Mgunda Sio Kocha wa Kuifundisha Simba hata Acheze Michezo 50 na Kushinda Sio kocha wa Hadhi ya Simba….Angalia sahizi Anamchezesha Phiri Namba Tofauti Mchezo wa 3 huu Haja Score mwisho wa Siku Mchezaji anakuaa na Pressure na Kushindwa Kufanya Vizuri.

Mechi ya Leo kwenye Kiwanja Kizuri hatukuwa na Sababu Kudraw…. Hata Mechi Tunazo Shinda Simba Ukiangalia huwa inakuwa sio Uwezo wa Kocha.

Ngoja Tuone hilo Gap La Point 6 huku Makundi CAF yakikaribia wachezaji watachoka zaidi na Kupoteza Mechi zaidi.

POOR SIMBA YANGU…!!!
Nakubaliana na wewe,nilishangaa sana Okra kuanzia bench halafu Boko anacheza dakika 90 tena kwenye mechi ambayo timu haitengenezi nafasi nyingi za wazi za kufunga.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
simba watafute na wao Jezi moja waizindike kwakweli
Ingekuwa jezi zikizindikikwa zinaleta matokeo basi kila jezi zingekuwa zinazindikwa. Hata Yanga wangezindika jezi zao zote za home, away na third kit ili kupata matokeo. Kuna tofauti kati ya kuzindika jezi na kuwa na jezi ya bahati.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kosa la Simba ni kukubali viongozi waliomaliza muda wao waendelee kukaa madarakani mpaka muda wa usajili wa dirisha dogo upite.
Hawa viongozi hawajui hatima Yao watataka kuwatengenezea lawama viongozi wanaokuja kwani swala la kocha lilishaongelewa muda mrefu lakini wanaridhika na Mgunda hali wanajua uwezo wake ni WA kawaida pia kocha wa makipa na viungo waliwaleta baada ya mashabiki kupiga kelele.
Mbona mkishinda haya malalamiko hakunaga? Kocha anakuwa mbaya mkikosa point, mkipata Mgunda binge la kocha. Duniani kote Hakuna mpira wa hivyo eti timu ishinde tuu. Hata sisi Yanga sc tulipoteza kwa Ihefu FC Tena timu inayoburuza mkia, lakini tulikubali maana na wao walistahili hayo matokeo maana siku hiyo walideserve kushinda, vivyo hivyo nanyi Jana shukuruni mlichopata maana Kagera sugar pale kwao kaitaba mmekuwa mkipoteza hivyo shukuruni na hiyo point moja.
 
Wewe shugurika na yanga yako ya Simba tuachie wanasimba
 
Mbona mkishinda haya malalamiko hakunaga? Kocha anakuwa mbaya mkikosa point, mkipata Mgunda binge la kocha. Duniani kote Hakuna mpira wa hivyo eti timu ishinde tuu. Hata sisi Yanga sc tulipoteza kwa Ihefu FC Tena timu inayoburuza mkia, lakini tulikubali maana na wao walistahili hayo matokeo maana siku hiyo walideserve kushinda, vivyo hivyo nanyi Jana shukuruni mlichopata maana Kagera sugar pale kwao kaitaba mmekuwa mkipoteza hivyo shukuruni na hiyo point moja.
Sio kwetu simba, sisi tunachojua ni ushindi hayo mengine hatuyajui
 
Back
Top Bottom