Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Badala ya kucheza mpira wake anataka apambane na Jini toka Kongo atafailPhiri huu mchezo wa leo sijauelewa
Wazitooo..umiliki mbovu, yaani kwa leo sijui kama tutatoboaKabisa. Wadada wa kihaya wamewazingua naona😆
WE JAMAA UMENICHEKESHA GHAFLA...Kusafiri kwa kosta number A kunachosha sana miguu
Goli umeliona?Acha ubaguzi
Guvu moya
Mwacheni Boko,kwani mmemchukia Boko ndiye kafungisha?
Guvu moya
Kagera 1-0Mbux3Matokeo ngapi ngapi huko? Na ni dakika ya ngapi!!
Hivi nilikuwa sijui kama kuna mchezo unaochezwa muda huu baada ya ule wa Geita Gold fc VS Azama Fc!!
Nikutumie hapo?Goli umeliona?
Goli gani unataka?Hujajibu swali
Goli umeliona?