FT: Ligi Kuu Bara: Kagera Sugar 1 -1 Simba SC | Kaitaba Stadium 21/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara: Kagera Sugar 1 -1 Simba SC | Kaitaba Stadium 21/12/2022

Pamoja na refa kuwa wetu lakini hii mechi ngumu leo na hasa kama wacha niendelee na maisha mengine.
 
Matokeo ngapi ngapi huko? Na ni dakika ya ngapi!!

Hivi nilikuwa sijui kama kuna mchezo unaochezwa muda huu baada ya ule wa Geita Gold fc VS Azama Fc!!
 
Kagera piga makolo hao
 

Attachments

  • Kolo.jpeg
    Kolo.jpeg
    193.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom