Leo unachezwa mpira mbovu sijawahi kuonaNamna anavyocheza. Namna wanavyocheza leo wakikutana na Raja Casablanca jua kilio ni kikubwa. Makosa ya kizembe mengi.
Mkuu unakosea kiwashtua,maana si wanasema wanatimu nzuri.....unakosea kuwashtua πNamna anavyocheza. Namna wanavyocheza leo wakikutana na Raja Casablanca jua kilio ni kikubwa. Makosa ya kizembe mengi.
Njoo Mikasa hapa unywe chochote maana unasema kweli tupu,butubutu tuLeo unachezwa mpira mbovu sijawahi kuona
Lini mikia mmecheza vizuriLeo unachezwa mpira mbovu sijawahi kuona
Mkipata point moya itapendeza sana πHahaha unataka nini kwetu ewe mpopo
Hatushtuki mwendo mdundo...timu inayocheza kwa nguvu zake kuna siku inakua nzuri na siku inakua mbaya...Mkuu unakosea kiwashtua,maana si wanasema wanatimu nzuri.....unakosea kuwashtua π
mkuu kuna uzi wako flani unamlinganisha kibu d na mayele ngoja nikausomeKuna Utopolo koment zao ni kama wamechanganyikiwa. Huwa hamuoni kabisa haya ya kujiheshimu?
Guvu moya πLini mikia mmecheza vizuri
Ebu tuambie mechi ipi ambayo mlicheza vizuriLeo unachezwa mpira mbovu sijawahi kuona
πππHatushtuki mwendo mdundo...timu inayocheza kwa nguvu zake kuna siku inakua nzuri na siku inakua mbaya...
Akikujibu niko hapa,aje achukue Pepsi big πEbu tuambie mechi ipi ambayo mlicheza vizuri
Hahaaaaaa akija niite mbwaaAkikujibu niko hapa,aje achukue Pepsi big π
Shida nyingine inaingia. Wamtoe na BoccoPhiri nje Kibu ndani
Huwa wanabadilika kulingana na ukubwa wa mechi...Namna anavyocheza. Namna wanavyocheza leo wakikutana na Raja Casablanca jua kilio ni kikubwa. Makosa ya kizembe mengi.