Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Mwendelezo wa Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241] kuendelea kupigwa leo Disemba 21, 2022 ambapo wenyeji Wanankurukumbi Kagera Sugar wanawakabili Wekundu wa Msimbazi Mnyama Mkali Mwituni Simba SC[emoji881] kwenye Uwanja wa Kaitaba[emoji2522] mkoani Kagera.🟢
Kumbuka mchezo ni kuanzia saa 1:00 Usiku. Usikose Yatakayojiri.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
Kikosi cha Simba
Kikosi cha Kagera Sugar
Mchezo umeanza kwenye Uwanja wa Kaitaba
5' Simba wanafika langoni mwa Kagera lakini wanakosa umakini
10' Kagera nao wanajipanga taratibu
11' Shuti kali langoni kwa Simba, linaokolewa na Inonga
14’ Kagera wanapata kona mbili mfululizo
15’ Deus Bukenya anaipatia Kagera goli kutokana na mpira wa kona
20’ Kagera wanaonekana kujiamini zaidi na kumipiki mpira
23’ Kagera wameshapata kadi mbili za njano
30’ Simba wanamiliki mpira muda mwingi lakini Kagera wanakuwa makini kuzuia
32’ Shuti la Phiri linatoka nje ya lango
37’ Presha inaongezeka kwa Simba wakitafuta goli
38' Inonga anasawazisha goli kwa upande wa Simba, akimalizia mpira wa Zimbwe Jr
44' Kagera wanafanya shambulizi kali, almanusura wapate goli
45' Zinaongezwa dakika 2 za nyongeza
MAPUMZIKO
Kipindi cha pili kimeanza
48’ Phiri anachezewa faulo ndani ya boksi, mwamuzi anapeta
55' Timu zinapeana zamu kumiliki mpira na kushambuliana kwa zamu
60' Faulo karibu na lango la Kagera baada ya Phiri kuchezewa faulo
63' Mzamiru anacheza vizuri, anapiga shuti linatoka nje
70' Sakho anatoka anaingia Okrah, mabadiliko kwa Simba
75’ Chama anachezewa faulo
76’ Shuti la nje ya 18 la Kanoute linadakwa na kipa wa Kagera
78’ Mambo ni magumu kwa timu zote
79' Moses Phiri anatoka akiwa anachechemea, anaingia Kibu Denis
90' Mambo ni magumu kwa timu zote, zinaongezwa dakika 5
Full Time: Ngoma ni 1-1