Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
kikosi cha mkono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akifunga ye anajua, akisipofunga anakamiwaYule rasta akiingia kwenye ukame wa mabao tu hakawii kusema anakamiwa mara anarogwa, sijui jezi, yaani mazagaza zaga kibao..!
Azam ameanza kudonoa kipoint kimoja kimojaAzam FC
FT 1-1
Kumbe siku hizi Kaitaba Stadium kuna taa?Huu uwanja mbona taa sizioni nachokiona ni kama kuna kimwanga cha jua ndio kinachomulika hapa kwenye pitch?
Wenzangu mnaonaje?
Ndoto zingine za mchana kabisaMoses Scars Phiri leo atupie hata mawili
Yule virasta kajisahau